Kabisa mkuuiAcheni bata aitwe bata
AmenAmani ya bwana iwe nanyi!
iwe nawe piaAmani ya bwana iwe nanyi!
Iwe na kwako piaAmani ya bwana iwe nanyi!
Halafu mchicha Ana Team up na kichwa kichafu lazma afeli tu...Hawajui kama nimefika kwako?sina mpango wa kuondoka?
Nilotaka kujua ule mpambano wa jana uliishia wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi na ho chi minh wapi kwa wapi??? carba........ Ohoooo
Mbona iko wazi?Tumeamka salama,ila naomba kujua nan anammiliki babe S?
Na mi napenda kujua pia,Tumeamka salama,ila naomba kujua nan anammiliki babe S?
Hahahahaha kweli we issa mweusiKama sisi ndo wahenga wa sasa tunashinda hum sipati picha wajukuu zatu watanukuu nn kutoka kwetu miaka ijayo
Mbona unaguna mkuu