myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh...Andaeni VPN mtandao unaelemewa
Hawajawahi kuwa na akili hao[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Usicheke msibani...unaweza kuukuta kwako pia...
Yaan usiku umekua mbovu sanaYaani nilikua bize naangalia series fulani Mzee kanicall niangalie Mitandaoni kuhakikisha😢
Usingizi umepotea kabisa
Jirani achatuHawajawahi kuwa na akili hao
Giza kali sana hope mama samia atatuongoza kwa ujasiri mkubwa hadi 2025Uuuuuh naumia mwili na roho, nimekosa nguvu. Magufuli baba yetu umetuachia giza nene.
Tuombe majizi yasianze tena kuitafuna hii nchi kama shamba la bibi. Samia na upole wake huo sidhani kama atauweza muziki wa mafisadi...Giza kali sana hope mama samia atatuongoza kwa ujasiri mkubwa hadi 2025