Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

046e817d830244c187ff0554f200eaba.jpg
 
Rest in Peace our president
Aisee!!

Tutarajie watu wengi kufa kwa kukosa kiongozi wa kutujengea ujasiri.
Tangu tarehe 22 mwezi jana nimekuwa nikihangaika na hii homa, mbaya zaidi na wife akaibeba. Tukikohoa au tukipenga kamasi damu zinatoka, hospitali nafasi ya kusikilizwa haipo, kumejaa...

Hofu...
Rais wetu alituondoa hofu, tukakaa na kujitibu kienyeji na mazoezi madogo madogo tukifanya.
Ahsante Mungu juzi Jumanne tumeweza kutoka nje tena tukiwa na afya japo sio imara sana.

Ahsante Mungu
Ahsante Rais wangu kwa kutujengea ujasiri.
Nenda Rais wangu, safari yako impendeze Mungu, Nafsi yako iendelee kuishi milele.
Hakika wote tutakufa.
 
Kabla hajaingia madarakani niliwahi kuumwa hoii kwenda hosp government folen ndefu napo bila connection humuoni dokta kwa siku hio

Hapa waliomuelewa ni wachache mno. Kama siku za kawaida kabla ya corona kuja huduma za afya kwa maskini kuzipata shida sana foleni ndo usiseme.

Kwenye hili gonjwa la corona si tungejazana mahospitali. Maana huko kenya mpaka wagonjwa wanakataliwa wodi zimejaa

Chanjo za majaribio kipindi kile tungechanjwa hadi tukome.

Naona wanaofurahia ni wale wapiga deals tayari wapo who kuagiza chanjo na ganji za mfukoni,ikija huku connection na pesa juu kuipata hio chanjo

Kama namuona mgonjwa wetu wa ubelgij anajiandaa kutawala nchi kupitia twitter
Aisee!!

Tutarajie watu wengi kufa kwa kukosa kiongozi wa kutujengea ujasiri.
Tangu tarehe 22 mwezi jana nimekuwa nikihangaika na hii homa, mbaya zaidi na wife akaibeba. Tukikohoa au tukipenga kamasi damu zinatoka, hospitali nafasi ya kusikilizwa haipo, kumejaa...

Hofu...
Rais wetu alituondoa hofu, tukakaa na kujitibu kienyeji na mazoezi madogo madogo tukifanya.
Ahsante Mungu juzi Jumanne tumeweza kutoka nje tena tukiwa na afya japo sio imara sana.

Ahsante Mungu
Ahsante Rais wangu kwa kutujengea ujasiri.
Nenda Rais wangu, safari yako impendeze Mungu, Nafsi yako iendelee kuishi milele.
Hakika wote tutakufa.
 
Pole Anko.
Nawaza maisha ya uyatima wa watoto wa mzee wetu, nafikiria madhara ya masimango ya Waswahili kwa watoto hawa...
Maumivu ya uyatima hayafutiki wala hayaondolewi kwa fedha, faraja angalau huahirisha...
Asante anko pole kwetu sote


Ila bora aliwaficha na hawakujiweka mbele kwenye siasa japo tutawaona msibani
 
Back
Top Bottom