Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kwel nimeamini shetani ana watu kibao[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Walisema bia watazimaliza, konyagi pia
Sijawahi ona msiba unafurahiwa[emoji119]
Kwel nimeamini shetani ana watu kibao[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Walisema bia watazimaliza, konyagi pia
Wanafurahi utadhani wao wataishi mileleNjia yetu ni moja jirani....
Hi Saint! How are U?Wanafurahi utadhani wao wataishi milele
Kumbe nawe ni muhanga wa homa hii!?Aisee!!
Tutarajie watu wengi kufa kwa kukosa kiongozi wa kutujengea ujasiri.
Tangu tarehe 22 mwezi jana nimekuwa nikihangaika na hii homa, mbaya zaidi na wife akaibeba. Tukikohoa au tukipenga kamasi damu zinatoka, hospitali nafasi ya kusikilizwa haipo, kumejaa...
Hofu...
Rais wetu alituondoa hofu, tukakaa na kujitibu kienyeji na mazoezi madogo madogo tukifanya.
Ahsante Mungu juzi Jumanne tumeweza kutoka nje tena tukiwa na afya japo sio imara sana.
Ahsante Mungu
Ahsante Rais wangu kwa kutujengea ujasiri.
Nenda Rais wangu, safari yako impendeze Mungu, Nafsi yako iendelee kuishi milele.
Hakika wote tutakufa.
Poleni sana mkuuAisee!!

I'm not fine Coco [emoji174]Hi Saint! How are U?
Pole sana kwa msiba Saint!I'm not fine Coco [emoji174]
[emoji24][emoji24]Pole Anko.
Nawaza maisha ya uyatima wa watoto wa mzee wetu, nafikiria madhara ya masimango ya Waswahili kwa watoto hawa...
Maumivu ya uyatima hayafutiki wala hayaondolewi kwa fedha, faraja angalau huahirisha...
AkhsantePole kwa msiba Saint!
Naumizwa sana nanyi waombolezaji, Mungu awatie nguvu.
Mimi sijambo, ni vile tu ukiwa mnyonge nahisi kugonjeka!Akhsante
Amen[emoji171]
Vipi,uko poa?
Nitie faraja basi[emoji24][emoji24][emoji24]Mimi sijambo, ni vile tu ukiwa mnyonge nahisi kugonjeka!
Kuna kitu mange kasahau,nchi bado ipo chini ya ccm
Nitie faraja basi[emoji24][emoji24][emoji24]
Jana siku yangu ilikuwa mbaya mapema mno kabla hata ya taarifa hizo kutangazwa saa5...nilihisi kuzimi
Si kila mwana CCM anaunga mkono vitendo vilivyo tendwa na hawa watuKuna kitu mange kasahau,nchi bado ipo chini ya ccm