Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kila awamu hakunaga umoja ndani ya ccm. Natamani mnaounga mkono upinzani mfahamu adui yenu ni CCM na sio mtu mmoja mmoja bila chama tusingempata huyo mmoja
Si kila mwana CCM anaunga mkono vitendo vilivyo tendwa na hawa watu
Ni mwanzo mzuri wa kurekebisha mahali tulipo kosea na kuijenga Nchi yetu kwa misingi imara ikiwemo,HAKI, UTU, UMOJA na MSHIKAMANO, kuheshimu na kuilinda katiba ya JMT.
HAKUNA MTU YUKO JUU YA SHERIA.