Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni vizuri kama hutaenda maana wasiwasi wangu ni kwamba huo msongoma utakuwa ni chanzo cha maambukizi mapya ambayo yanazidi kusambaa nchini na kwa mshangao wangu sioni Wizara ya Afya ikiwahamasisha Wananchi kuvaa barakoa, kuepuka misongamano na kunawa mikono kila mara au kutumia sanitizer. Nyungu na kujifukiza IMEISHA hiyo.
Asante BAK
Pole na wewe.

Mimi sitaenda..nipo mbali mno halafu sina confidence ya kushuhudia matukio kama hayo.
 
Ni vizuri kama hutaenda maana wasiwasi wangu ni kwamba huo msongoma utakuwa ni chanzo cha maambukizi mapya ambayo yanazidi kusambaa nchini na kwa mshangao wangu sioni Wizara ya Afya ikiwahamasisha Wananchi kuvaa barakoa, kuepuka misongamano na kunawa mikono kila mara au kutumia sanitizer. Nyungu na kujifukiza IMEISHA hiyo.
Watanzania wenyewe muamko ni mdogo kipindi hiki,tofauti na mwaka jana.
 
1616095323790.jpeg
 
Back
Top Bottom