Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mbona uhamasishaji unafanyikaUhamasishaji wa barakoa na kuepuka misongamano ungekuwa mkubwa kama wa kujifukiza nyungu basi maambukizi mengi yangeepukika.
Ni watu tu jamani
Mbona uhamasishaji unafanyikaUhamasishaji wa barakoa na kuepuka misongamano ungekuwa mkubwa kama wa kujifukiza nyungu basi maambukizi mengi yangeepukika.
[emoji120][emoji120]Poleni Watanzania wote
Tuna matumaini makubwa na wewe, usikubali kuyumbishwa.Mazuri ya mtangulizi wako endelea nayo, mabaya achana nayo
Mazuri ya JK yachote, mabaya yaache.
InshallahMwenyezi Mungu Akusimamie uongoze Tanzania kwa hakiView attachment 1729103