Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nazingua tu shemeji na hako ka nembo. Huko kwenye vituko bado siasa hazijafika sana hivyo ni kuzuri kupumzikia hasa kipindi hiki...[emoji16]Ze don shemeji yangu hako kanembo uliko kabandika kameshitua nikaanza kufuatilia majibizano yako kwa leo... Mitaa ya Vituko...ndo nimekukuta
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nazingua tu shemeji na hako ka nembo. Huko kwenye vituko bado siasa hazijafika sana hivyo ni kuzuri kupumzikia hasa kipindi hiki...[emoji16]
Sijambo ankooMarahaba mama, hujambo binti yangu?
Wiki lijalo Mungu akinijaalia uzima na afya njema nitashuka huko. Nitakujulisha. Nimekukumbuka pia binti yanguSijambo ankoo
Nimekumiss ati[emoji4]
Sawa ankoo karibuWiki lijalo Mungu akinijaalia uzima na afya njema nitashuka huko. Nitakujulisha. Nimekukumbuka pia binti yangu
Mungu ni mwema. Ulisha rudi nyumbani?Sawa ankoo karibu
Za siku nyingi?
Duuu, kama ni kweli basi wameamua.
Nakuomba, muda huu ambao umepatwa na huzuni na majonzi makubwa, pumzika kidogo kuingia mitandaoni maana utaumia zaidi.Hata hivyo nimejitahidi sana kuandika vizuri[emoji4]
Duuu, kama ni kweli basi wameamua.
CCM Moto unawaka huko, ngoja tuone
NdiyoMungu ni mwema. Ulisha rudi nyumbani?
Nisipoingia huku nitakufa kwa stressNakuomba, muda huu ambao umepatwa na huzuni na majonzi makubwa, pumzika kidogo kuingia mitandaoni maana utaumia zaidi.