andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Amen.Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Yaliyo ya heri yawe upande wetu sote sasa hata milele
Amen.Mungu atupe afya na uzima [emoji120][emoji120]
Ankoo shkamooAmen.
Yaliyo ya heri yawe upande wetu sote sasa hata milele
Unadhani kwa sababu gani hatomaliza muhula wake wa miaka minne mkuu?Huyu mama hata maliza muhula wake mpaka 2025..
[emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote
[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni walezi wa familia..
Amin [emoji120][emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Jioni iwe njema na ya amani...
Hata hivyo nimejitahidi sana kuandika vizuri[emoji4]Saint Anne ninaye kujua sikutarajia uwe na maneno makali kama haya.
Najua tumempoteza mpendwa wetu, lakini jitahidi kuwa mvumilivu.
Interesting
Marahaba mama, hujambo binti yangu?Ankoo shkamoo