myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema
Haya maelezo yangeambatana na tupicha twao nakuapia kwa Mungu tungemuombea a-RIP huko kwenye makazi mapya na huyo mwingine tungeendelea na mchakato chanya...Umefanya niwakumbuke warembo wawili mmoja wa kipare yule binti kaumbika jamani! Na kwao wote ni wazuri ile mbaya lakini yeye alikuwa kawazidi wote kwa uzuri, kwao walizaliwa wanawake watano wote. Yaani kuanzia sura hadi unyayo halafu alikuwa anajipenda sana. Ofisi zetu zilikuwa jirani yeye akiwa NBC na mimi nilikuwa na bank accounts zangu kwenye ile branch kumbe kila nikiingia pale branch ananicheck tu hadi siku nikamkuta nje akiwa kwenye break na nikamsalimia alivyokuwa anajibu basi mie sikufanya hiyana. Huyu nilimuita Halle Berry lakini Halle Berry wa ukweli haoni ndani, halafu kulikuwa na office mate wa Kichagga aliitwa Agnes huyu naye alikuwa bomba sana lakini alifariki baada ya ya kupata ajali akitokea Moro kurudi Dar kikazi RIP Agnes [emoji22][emoji22][emoji22]Mwenyezi Mungu anaumba jamani!!!
Pole sana shemeji. Mungu na Aendelee kuwapigania. Mpe pole sana dadangu...Aisee!!
Tutarajie watu wengi kufa kwa kukosa kiongozi wa kutujengea ujasiri.
Tangu tarehe 22 mwezi jana nimekuwa nikihangaika na hii homa, mbaya zaidi na wife akaibeba. Tukikohoa au tukipenga kamasi damu zinatoka, hospitali nafasi ya kusikilizwa haipo, kumejaa...
Hofu...
Rais wetu alituondoa hofu, tukakaa na kujitibu kienyeji na mazoezi madogo madogo tukifanya.
Ahsante Mungu juzi Jumanne tumeweza kutoka nje tena tukiwa na afya japo sio imara sana.
Ahsante Mungu
Ahsante Rais wangu kwa kutujengea ujasiri.
Nenda Rais wangu, safari yako impendeze Mungu, Nafsi yako iendelee kuishi milele.
Hakika wote tutakufa.
Huyu mama hata maliza muhula wake mpaka 2025..
We ni mpuuzi kabisa unaetetea usichokijua ungekuwa mdudu ungekuwa funza mkuu, fikiria mkuu wa nchi anaugua mpaka anafariki tarehe 11 na huambiwi unafichwa unaambia tarehe 17.******* ni nyie mnaoumia mtu kuagwa.
Huwezi jua sababu ya kutokutoa taarifa...si lazima kila ukiumwa useme.
Amina. Mungu ni muweza, tunazidi kuimarika.Pole sana shemeji. Mungu na Aendelee kuwapigania. Mpe pole sana dadangu...
Bahati mbaya Mimi si mdudu[emoji4][emoji108]We ni mpuuzi kabisa unaetetea usichokijua ungekuwa mdudu ungekuwa funza mkuu, fikiria mkuu wa nchi anaugua mpaka anafariki tarehe 11 na huambiwi unafichwa unaambia tarehe 17.
Bado hujaona viongozi wako ni wapambavu kama wewe mkuu.