myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kwahiyo tuamini lipi??
Kwahiyo tuamini lipi??
Sisi tumemsikiliza msemaji wa serikali
Tariifa zimesema amefariki tar17Si walitudanganya kwamba yuko busy kupitia mafaili kumbe ni marehemu tangu March 11, 2020
Tariifa zimesema amefariki tar17
Hiyo tar 12 imetoka wapi?
Nani aliziweka??Habari za kwamba amefariki zilikuwepo mitandaoni siku chache kabla ya hiyo March 17th.
Nani aliziweka??
Mimi nimesikia taarifa moja tu ya Mama Samia
Mbona hujanijibu swali langu?Endelea kuiamini hii Serikali iliyojaa waongo.
Mbona hujanijibu swali langu?