capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Hivi yatima hadeki ndiyo wakina nani jamani
Hivi yatima hadeki ndiyo wakina nani jamani
Naona tangu juzi
Yaani mie nauliza hilo kundi la yatima hadeki maana tangu juzi naona[emoji1787]Umeshawahi kumuona yatima akideka!?
Poleni wakulima wote...
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Amin[emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]