Nani tena?Hongereni japo bado kuna mtu mmoja anahitajika kati yenu
Niko poa sana ndg. Naomba nitambue wewe ni ke au me ili nikupe stahiki yako mkuuPoa tu Quigley. Upo poa wewe
Najuta kwanini sikumjua mapema naona Cole na yeye amekusahaulisha machungu ya Kichwa kichafuNaona QUIGLEY anakupa mahaba hadi unasahau kuja huku...tulikumiss pia karibu