Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1616355736171.jpg
 
elimu ya afya kiganjani mwako Unaweza kushea na wengine huu ujumbe ili wafurahie makala za afya nyingi kama hizi bure kabisa, fatana namiNapenda niseme kwamba hakuna kitu kinachosumbua kisakolojia na kihisia kama kuwa na weusi katika ndani ya mapaja,kwapa na sehemu zingine, kwani hali hio inakunyima uhuru wa mavazi na kujiachia unapokuwa na mwenza wako.
 
elimu ya afya kiganjani mwako Unaweza kushea na wengine huu ujumbe ili wafurahie makala za afya nyingi kama hizi bure kabisa, fatana namiNapenda niseme kwamba hakuna kitu kinachosumbua kisakolojia na kihisia kama kuwa na weusi katika ndani ya mapaja,kwapa na sehemu zingine, kwani hali hio inakunyima uhuru wa mavazi na kujiachia unapokuwa na mwenza wako.
 
VISABABISHI VYA KUWA NA WEUSI KATIKA SEHEMU ZA MAPAJA ,KWAPA NA SEHEMU ZINGINE.

1. Msuguano kati ya sehemu mbili kwa muda mrefu.
Hii ni hali ambayo inawatokea sana watu ambao unakuta viungo vyao vimekaribiana sana hasa mapaja na husuguana na wengine hupelekea kupata maumivu makali sana na kuwapelekea kutumia nguo ndefu za ndani kupunguza msuguano huo
 
3. Matumizi mabaya ya deodorant spray

Watu wengi wanaotumia deodorant spray hasa zenye aluminium salt zinaziba vitundo vya ngozi na hatimaye ngozi yako kutopumua vizuri na hatimaye kuidhuru ngozi yako. Weusi wa namna hii unapatikana sana ktk kwapa.
 
5. Vichocheo kuvurugika
Watu wengi wenye vichocheo vilivyo vurugika unaweza ukamtambua kuwa ana hormone imbalance kwa dalili hii. Na wengi wapo katika kundi hili, unakuta ana ndevu,kwapa nyeusi na mapaja meusi na hadi kupelekea shingo nyeusi sana. Kumbuka homoni imbalance inatokea kwa wote mwanaume hata mwanamke.
Hivyo ukitaka kumsaidia tatizo hili ,hakikisha unarekebisha vichocheo vyake.
 
2. Badili mwenendo Maisha yako katika lishe na mazoezi.
Hakikisha lishe yako unapunguza wanga nzito hasa nafaka, wali nk pia punguza vyakula vyenye sukari na vionjo vya kemikali km soda.ikiwezekana acha soda kabisa.
 
3. Majani ya Aloevera.
Chukua utomvu wa jani la Aloevera pale pale unapokata.
Paka kwenye sehemu yenye weusi na kisha acha ule utomvu kwa muda takribani nusu saa kisha osha na maji ya uvugu vugu/moto
Fanya hivi mara moja hadi mbili kwa siku ili kuweza kupata matokeo haraka.
Utafurahia jinsi gani mmea huu ulivyo na maajabu katika ngozi yako kwani ngozi mpya itatengezwa haraka sana na jinsi gani ilivyo mashuhuri km strong natural antibiotics kwenye ngozi yako.
 
4. Yogurt
Kuna maajabu makubwa sana na yogurt kwani imekuwa ikitumika km natural bleaching agent kutokana na kiini chake [ingredient] lactic asidi pamoja na zinc yenye uwezo mkubwa wa kuzuia kuharibika kwa ngozi kutokana na jasho jingi sehemu za mapaja,shingoni na kwapa.

-Chukua yogurt paka sehemu husika kisha fanya massage [sugua] halafu acha kwa dk 10-15 na baada ya hapo osha na maji ya uvugu vugu.

Pia unaweza kuchukua yogurt kijiko kimoja cha chai ukachanganya na kipande cha limao kisha paka na sugua sehemu husika rudia mara 3-4 kwa wiki.
 
5. LIMAO
Limao ina uasili wa ASIDI ambao unafanya itumike kama Natural bleaching agent cha ngozi yako ambayo imeharibika.
Pia limao ina kiwango kingi cha vitamin C kinachosaidia seli za ngozi yako kuzalishwa upya na kasi ya ajabu.

Chukua pamba na chovya kwenye juisi ya limao kisha paka sehemu husika kisha acha kwa dk 20 baada ya hapo osha na maji masafi.
Rudia zoezi hili mara 3 hadi 4 kwa wiki moja.

Note: Epuka kutumia juisi ya limao endapo ni muda mfupi umemaliza kunyoa na umejikata sehemu nyeti.
 
6. TANGO
Hii pia imekuwa ikishika nafasi kubwa kama ni natural bleaching agent ya ngozi.
Inauwezo mkubwa wa kuondoa seli za ngozi zilizokufa na kurudisha mpya haraka sana. Na hatimaye kufanya mapaja yako kuwa meupe na sehemu zingine.

Chukua kipande cha tango au juisi yake sugua sehemu husika kwa dk 10 hadi 15. Kisha acha angalau dk 10 tena baada ya hapo osha kwa maji ya uvugu vugu.

Pia unaweza kuchukua juisi ya tango,changanya na binzari [unga wake uliosaga] na limao kisha fanya hivyo hivyo.
Fanya zoezi hili mara mbili kwa siku.
 
Back
Top Bottom