Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1616491163249.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuvumilie tu bro tunapoza machungu ya kufiwa na wabongo tunavyopenda matukio sasa
Nimemtafuta hajibu simu yake sijui kaenda kujificha wapi. Nadhani ana sababu ya msingi kufanya hivyo kulingana na taaluma yake. Au pengine ni mambo ya kiprotokali tu yalimbana.

Ila Wabongo sasa wasivyo na dogo cha moto atakiona [emoji16][emoji16][emoji16]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tutasahau tu awe mpole. Japo jambo kama hilo likikutokea ni fedheha kubwa mno inachukua muda kusahau
 
Back
Top Bottom