Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usiku unaingiaJioni Inaaga hiyo...
[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni na maombolezo..
Ngosha The Don Himuselfu [emoji123][emoji123][emoji123]
Huyu mkalimani jamani is my friend. Ni mkalimani wa muda mrefu na anakwendaga mpaka ma UN huko. Sasa sijui nini kimetokea dah [emoji16]
Poleni wakulima wote..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuvumilie tu bro tunapoza machungu ya kufiwa na wabongo tunavyopenda matukio sasaHuyu mkalimani jamani is my friend. Ni mkalimani wa muda mrefu na anakwendaga mpaka ma UN huko. Sasa sijui nini kimetokea dah [emoji16]
Nimemtafuta hajibu simu yake sijui kaenda kujificha wapi. Nadhani ana sababu ya msingi kufanya hivyo kulingana na taaluma yake. Au pengine ni mambo ya kiprotokali tu yalimbana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuvumilie tu bro tunapoza machungu ya kufiwa na wabongo tunavyopenda matukio sasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tutasahau tu awe mpole. Japo jambo kama hilo likikutokea ni fedheha kubwa mno inachukua muda kusahauNimemtafuta hajibu simu yake sijui kaenda kujificha wapi. Nadhani ana sababu ya msingi kufanya hivyo kulingana na taaluma yake. Au pengine ni mambo ya kiprotokali tu yalimbana.
Ila Wabongo sasa wasivyo na dogo cha moto atakiona [emoji16][emoji16][emoji16]