Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona QUIGLEY anakupa mahaba hadi unasahau kuja huku...tulikumiss pia karibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umejuaje????
Sammyluv kazaliwa upya ktk ulimwengu wa mahaba, ninamfuta machozi, ninamtibu majeraha ya moyo na sasa ngozi ya moyo wake iko mikono salamaaa
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
sammyluv my darling
 
Back
Top Bottom