myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeSwali nalojiuliza mimi na nyie ndo mnajiuliza hilo hiloView attachment 1735898
Asante jirani mpenzi[emoji24][emoji24][emoji24]Poleni kwa msiba mzito uliotufika watanzania.
[emoji120][emoji120]Wakulima woote poleni sana..
[emoji23][emoji23]Kigogo amesema serikali impe namba awapigie
[emoji120][emoji120]View attachment 1735955
Kigogo amesema serikali impe namba awapigie
Mi mbona sina swali.Swali nalojiuliza mimi na nyie ndo mnajiuliza hilo hiloView attachment 1735898
Ana mpango wa kujiua au ....sijaelewaNa alishaapa hawatampata na wakikaribia kumpata watakuta mwili tu Kigogo atakuwa kishaenda zake.
Waaow au kama ile ya msechu na mkeweMi mbona sina swali.
Kuna couple kama hii hapa jirani, wamekuwa kivutio mtaa mzima
Ana mpango wa kujiua au ....sijaelewa
Serikali kuna mambo mengi ya kufanya kumtafuta mtu ambaye Regime Kama ya JPM imefeli kumkamata ni useless kwa kodi za wananchi Hizo pesa wananunue madawa, madawati, wajenge vyoo vya mashuleni etc.Ndiyo Mkuu
Nakwambia watu wamepata kielelezo, akichukua bodaboda wanaelekezana tu "nipeleke mtaa wa vibonge wawili"Waaow au kama ile ya msechu na mkewe