Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Umeongea kitu cha maana sana Mkuu. Wamtafute huyo aliye ndani ya TISS au Serikali ambaye anamnyofolea nyeti Kigogo. Kigogo sioni kosa lake lolote la Serikali kutumia pesa chungu nzima kukimbizana naye.
Serikali kuna mambo mengi ya kufanya kumtafuta mtu ambaye Regime Kama ya JPM imefeli kumkamata ni useless kwa kodi za wananchi Hizo pesa wananunue madawa, madawati, wajenge vyoo vya mashuleni etc.
 
Nakwambia watu wamepata kielelezo, akichukua bodaboda wanaelekezana tu "nipeleke mtaa wa vibonge wawili"
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Kuna jamaa alikua anapenda kukaa kifua wazi iwe baridi iwe joto yeye ni bila shati hadi makonda wakamfahamu eneo hilo likawa kituo cha daladala ukisema nishushe kifua wazi wanakushushia hapo
 
20210327_204142.jpg
.
 
Back
Top Bottom