Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

northerns_cruiser-___CBVft5JgGIU___-.jpg
 
Mi nadhani wamuache tu.
Labda watafute maofisa wanaovujisha siri kwake.
Ila kwa upande furani Kigogo anatusaidia kupata Breaking news.
Na kuna wakati pia huyu Kigogo anatulisha matango pori
Habari za kweli zimekuwa adimu mnooo. Hata hao 'wakamataji' wanamtegemea yy kupata taarifa za uhakika kwa wakati
 
Back
Top Bottom