antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Na kwako piaSalam kwenu
Na kwako piaSalam kwenu
AmenIwe siku yenye amani na upendo..
Mkuu, unachosema ni kweli, ila yeye mwenyewe alisema anajiamini, hapangiwi, (meaning hashauriwi).
Ukikomaa kumshauri unatafuta kutumbuliwa tu..🙄
Na hapo ndo shida ilianzia..Wengi ya wasaidizi wake walikuwa wanalinda ugali wao
Kabisamendege imetutia Short Bilion 60 it's not jokes