antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Na kwako piaSalam kwenu
AmenIwe siku yenye amani na upendo..
Unajua shida kubwa ni kwamba mzee alizungukwa na wapiga vigelegele wengi ofisini kwake, huku mitandaoni na duniani. Wengi ya wasaidizi wake walikuwa wanalinda ugali wao hivyo walimwambia mambo ambayo yeye alitaka kuyasikia. Watu kama wakina Lawrence Mafuru (Former Treasury Registrar) na uwezo wao wote, walipomwambia ukweli kuhusu uchumi na matumizi ya pesa walifukuzwa hazina.Mkuu, unachosema ni kweli, ila yeye mwenyewe alisema anajiamini, hapangiwi, (meaning hashauriwi).
Ukikomaa kumshauri unatafuta kutumbuliwa tu..🙄
Na hapo ndo shida ilianzia..Wengi ya wasaidizi wake walikuwa wanalinda ugali wao
Kabisamendege imetutia Short Bilion 60 it's not jokes