myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku uwe mwema kwetu wote
Nipooo,mzima?
Mungu awalaze pema peponi.Watu watatu akiwemo mwanafunzi mmoja wamefariki kwenye ajali ya basi la Super Feo iliyotokea jana kwenye kijiji cha Lirondo Madaba mkoani RuvumaView attachment 1738174
Shwari bro, bado tunaomboleza kifo cha mpendwa wetuMungu awalaze pema peponi.
Salama bro?
Nipo, hbr za masiku?Nipooo,mzima?
Salama kabisa.Namlilia hayatiNipo, hbr za masiku?
Mbona unalia ?