antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
AmenMungu atupe siku njema 🙏🙏
AmenMungu atupe siku njema 🙏🙏
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏🙏
😂😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1739196
Muhimu kwa kweli
Hahahaha..
Mbaya hivo..
Ngoja waje wakereketwa wakujibuTIMU YA SIMBA INA HISTORIA YA KUMFUNGA MTANI WAKE YAKE KILA AWAMU YA RAIS
Awamu ya nyerere
SIMBA [emoji642] YANGA [emoji2388]
Awamu ya mwinyi
SIMBA [emoji641] YANGA [emoji2388]
Awamu ya mkapa
SIMBA[emoji2392] YANGA[emoji2388]
Awamu ya kikwete
SIMBA [emoji2393] YANGA[emoji2388]
Awamu ya magufuli
SIMBA [emoji2392] YANGA [emoji2389]
Awamu ya samia....?
YANGA WAJIANDAE KISAIKOLOJIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yap[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1739200
Kweli kabisaASIKWAMBIE mtu, hali ni mbaya. Uchumi wa dunia umetikiswa kwa kiwango kikubwa kutokana na janga la corona na kuzifanya klabu kiboko kwa kutumia pesa nyingi kwenye usajili kukiri kushindwa kumwaga pesa kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Aysee😐Corona imesababisha klabu kushindwa kupata mapato kupitia viingilio vya uwanjani baada ya mashabiki kuzuiwa, huku dili jingine za kibiashara zikipunguzwa pia.
Dooh!Harakati za timu nyingi ni kupunguza bili za mishahara, jambo ambalo litakuwa na athari kubwa kwa mastaa wanaouzwa kwa ada inayozidi Pauni 100 milioni kutokuwa na uhakika wa kununuliwa kwenye dirisha lijalo na kwamba wataendelea kubaki kwenye timu zao.
Hali ikiwa tete watalegeza tuuKwenye mkataba wa Haaland kumewekwa kipengele cha kumfanya auzwe kwa mkwanja usiozidi Pauni 70 milioni mwakani, hivyo kutokana na hali ngumu ya kiuchumi ya sasa, itakuwa ngumu kupata timu itakayokuwa tayari kulipa mkwanja huo, Pauni 150 milioni, hivyo Haaland anaweza asihame mwaka huu.
Achangamke mapemaKane ni staa mkubwa kwenye kikosi cha Spurs, lakini sasa uzalendo unaelekea kumshinda kutokana na timu kukosa mipango ya kushinda mataji huku umri ukizidi kumtupa mkono
VizuriStaa huyo anataka kuhamia kwenye timu inayoweza kumpa dursa ya kubeba mataji katika kipindi ambacho bado anacheza kwenye kiwango bora kabisa cha soka lake.