Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Country Boy

"Aaah Wapi"


Versev1
Navyozimwaga flow, kama ingekuwa pesa Jack Pemba
Swag Master, cheki hii beat navyoiremba
Meza rap ukizubaa mi nawapiga chenga
Madogo sio marefa ila ma-B kwa kupenga
Wao wanapenga, mi najichenga
Mziki naupenda sana imefika time nilete mshenga
Siku hizi watoto wa kishua wanajifanya watoto wa ghetto
Wakati home fresh, yaani mambo yame-settle
Wanajiona wamepinda kisa bangi za kimento
Ni sawa una demu mkali afu bado unapiga nyeto
Una kesho usichukulie poa aisee
Ujana wako tamba ila fainali uzee
Ukiona inaingia deep basi nipotezee
We omba sana ila utakombewa na padri au shehe
 
Hook
Country nakufuata twende club
(Aaah wapi!)
We staa mademu utateka wasaa
(Aaah wapi!)
We njoo kuna mademu wanakukubali
(Aaah wapi!)
We staa tafuta Bongo Movie mkali
(Aaah wapi!)

Bridge
We kama unani-feel, unani-feel nipe deal
Unani-feel nipe deal
We kama unani-feel, unani-feel nipe deal
Unani-feel nipe deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…