Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Verse 2
More money, more problem
Shida kwenye cargo, flow heavyweight
Mayweather usisogee mmh bado
Kila mecho wanaocheza wanaishiwa pumzi bado
Kuna tuzo inawatunza wapuuzi hujui bado
Wapeni ripoti wasiozipata hatupigani na madogo
Tunawachapa, na wakilia tunawabembeleza tukiwapakata
Na haikuwa rahisi kufika hapa
Ndo maana nkaamua ku-change style za kitozi waachie Wakacha
Ku-change style tu mi mwepesi kama Jet Lee
Grade ya kivina kung fu au tai chi
Paah, papaah! Get them if that’s meal
Usilete competition na madogo yeah trust me
Mashabiki wapumbavu watahisi beef
Lakini ntabeba dhambi zao kama Yesu Kristu
Siku hizi nashinda studio hiyo sio club au bar
Yeah, sio club au bar

Mademu zao wakiniona "why you so Kendrick Lamar, huh?"