Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkataba wa Lacazette na Arsenal utamalizika Juni, mwakani na ilitegemewa Arsenal wangekuwa wanafanya naye mazungumzo ili aongeze mkataba kuendelea kuichezea kutokana na kiwango bora anachokionyesha
 
“Suala la Laca tutalishughulikia wakati wa kiangazi. Tutazungumza naye na kupendekeza nini kinahitajika kwa siku za usoni,” alisema kocha huyo.
 
Husaidia kuimarisha afya ya ngozi

Spinachi inapotasiam kwa wingi, viatamini E na vitamin C ambazo zinasaidia kuimarisha afya ya ngozi. Husaidia pia kuilinda ngozi na mionzi ya jua kwa watu ambao tunapigwa na jua kwa muda mrefu katika shughuli zetu za kila siku.
 
Back
Top Bottom