myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi ya supu
Wala sijui hata jina lake mkuuHivi anaitwa nani huyu
Ndo tanzania yetuWatatutoa utumb huyu jamaa
Sana tuuLikes zinaendelea kutolewa
SalamaWananzengo niaje
Hahaha... Aisee!!!Yaaan bureee bila bando wala chochote mbn
Njema, mzimaHabarini za ahsubuhi
Shwari, kwemaWananzengo niaje
Nafuu warejeshe kila kitu Kama ilivokuwa Mwanza. Haya maboresho ni changa la macho🙄
Tunashukuru tunahema licha ya vifurushi kuwa ghariShwari, kwema