Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo Mkuu ni tahadhari ya COVID-19 ila ambacho kinanishangaza uvaaji wa barakoa ndani ya Serikali bado ni mdogo sana au hakuna. Sitashangaa kukitokea msiba mwingine mkubwa hivi karibuni. Mwenyezi Mungu apishilie mbali.
Mbona hakuna kusalimiana kwa kushikana mikono.. ni tahadhari ya C19, au?
 
Mkuu wa soka Sebastian Kehl amekubali Borussia Dortmund huenda ikafika kiwango ikashindwa kuendelea kumlipa mshambuliaji raia wa Norway Erling Braut Haaland, 20. (Goal)
 
Haaland amempiku mshambuliaji wa Barcelona raia wa Argentina Lionel Messi, 33, kama mlengwa mkuu wa Manchester City licha ya kocha Pep Guardiola kusema klabu hiyo haina uhakika kama itamnunua mbadala wa Sergio Aguero, 32 ambaye anatoka nchi moja na Messi. (Sunday Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…