antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Samaki huyu ni mwenye kasi zaidi duniani, akiwa na kasi ndani ya maji ya kilomita 110 kwa saa.
Sisi ndiyo tunakandamizwaNchi zinazoongoza kwa kuwa na gharama ndogo zaidi ya kifurushi cha Data (Intaneti), Wastani wa gharama kupata Gb 1 tu;
1. India - Tzs 208/=
2. Israel - Tzs 255/=
3. Kyrgyzstan - Tzs 486/=
4. Italy - Tzs 997/=
5. Ukraine - Tzs 1,066/=
Ubabe.Nchi zinazoongoza kwa kuwa na gharama kubwa zaidi ya kifurushi cha Data (Intaneti), Wastani wa gharama kupata Gb 1 tu;
1. Malawi - Tzs 63,569/=
2. Benin - Tzs 63,127/=
3. Chad - Tzs 54,103/=
4. Yemen - Tzs 37,057/=
5. Botswana - Tzs 32,164/=
Chanzo: Visual Capitalist
Hello VE!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]Anko nakuona unavyo sogea mdogo mdogo... Ipo siku,mara paaap mikononi mwa Anko [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona hata sio mzuri