Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
[emoji120]
[emoji15][emoji849][emoji849]
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuhAsalaam Alyeikum
Kuhamishwa shida mno ukute alishaweka makazi hapo na madili ya kupigaKaribia wote wamerudishwa ila wachache.
Nadhani ni Profesa Mchembe na yule wa TAMISEMI, wengine wote wametetea nafasi zao ingawa wachache wamehamishwa wizara
Ukiwa na hela raha sana maana familia yoote unaiweka karibu bila wasi wasi wala maneno manenoMzee Ngoyayi Lowassa skifurahia Pasaka na familia yake.
Hongera kwako mzee Lowassa View attachment 1743637
Ni course nzuri na iko marketable, ila kwa Sasa kumekuwa na changamoto ya ajira hivyo waweza sota kidogo ama la Maza km ataweka sawa baadhi ya mambo Basi itakuwa safiNi nzuri tu!!
Pia naomba msaada kidogo, kwa Jf members.
Nahitaji kujuwa kiundani zaidi hii course ya sociology, kwani ni chaguo la kwanza kwangu kuhitaji kuisoma.
Msaada tafadhali #Degree
Mama anatusikiliza sana yani 😍
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwa tunadate sio lazima tuongee kila siku kumbuka haya ni mahusiano tu sio redio [emoji1787][emoji1787]
Sawa mama, kama uliteua kwa taarifa za juu juu bila kujua kwa uhakika uwezo wake tengua teua mwingine.
Kuhamishwa shida mno ukute alishaweka makazi hapo na madili ya kupiga