Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni nzuri tu!!

Pia naomba msaada kidogo, kwa Jf members.
Nahitaji kujuwa kiundani zaidi hii course ya sociology, kwani ni chaguo la kwanza kwangu kuhitaji kuisoma.
Msaada tafadhali #Degree
Ni course nzuri na iko marketable, ila kwa Sasa kumekuwa na changamoto ya ajira hivyo waweza sota kidogo ama la Maza km ataweka sawa baadhi ya mambo Basi itakuwa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…