Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Neno la leo:
Hakika wema na fadhili za bwana zitanifuata siku zangu zote za maisha yangu na ni takaa nyumbani mwa bwana milele
Naomba mnambie ni kitabu gani andiko hili lipo?
Neno la leo:
Hakika wema na fadhili za bwana zitanifuata siku zangu zote za maisha yangu na ni takaa nyumbani mwa bwana milele
Naomba mnambie ni kitabu gani andiko hili lipo?
Ni mtu namkosa sana hapa JF.Umenikumbusha huyu mrembo.
Ni mtu namkosa sana hapa JF.
Very true! ni vile siwezi funguka sana hapa 😀 I do miss her!Alikuwa mtu poa sana I hope she is okay and doing well in her life.
Very true! ni vile siwezi funguka sana hapa 😀 I do miss her!
Kuna mdada anaitwa Paula ana sifa zina karibiana sana zake, sema bado hafit kua Fragy .
Nmefurahi 🙏Sawa Mkuu huwa namsoma sana Paula she is very good but she is not Fragaria it is so easy to tell the difference between the two.
Nakuona vile uko na raha! Nadhani ni vile TTCL wamrejesha huduma zao kama awaliView attachment 1744401
Nawasalimia wapendwa 😍😘
Ungejua sijawahi kutumia TTCL 😀😀Nakuona vile uko na raha! Nadhani ni vile TTCL wamrejesha huduma zao kama awali
Unawezaje na wewe ni mtumishi wa UMMA? Ulipuuza AMRI ya SHUJAA WA DUNIA!?Ungejua sijawahi kutumia TTCL 😀😀
Unawezaje na wewe ni mtumishi wa UMMA? Ulipuuza AMRI ya SHUJAA WA
Sijawahi na sina huo mpango 😀😀