Huu utakuwa ndio uzi wangu wa mwisho humu jf kwenu ndugu zangu ambao tumekuwa pamoja humu, na kwa wote ambao kwa namna moja ama nyingine waliwahi kuguswa na magumu niliyo na ninayoendelea kupitia wakanishauri na wengi hata kutoa sehemu ya walichobarikiwa kunisaidia. Nitumie nafasi hii ya mwisho...
Nimepata kazi Dar mshahara laki moja. Natafuta nyumba ya kuishi na mke na watoto sita iwe na stima maji na usalama. Ni sehemu gani Dar naweza pata nyumba