BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hahahahahahahahahah lol!
Siku moja ya mwisho regacy ya jiwe over View attachment 1744560
Siku moja ya mwisho regacy ya jiwe over View attachment 1744560
Ni kweli.Timu yetu imekuwa tia maji
Legacy ya Jiwe (mbaya au nzuri) haiwezi kuwa over. Angalau subiri vitabu vya historia ya nchi yetu vitakapoandikwa ndiyo utajua. Sasa hivi ni wapigania matumbo yao tu, wanaharakati wetu uchwara na wanafiki ndiyo wanaohangaika. Na hakuna sarafu yenye upande mmoja tu kwa sababu uwili - kinzani (+ na -) ndiyo kanuni ya jumla inayoendesha ulimwengu wetu. Kuweni na subira !!!Siku moja ya mwisho regacy ya jiwe over View attachment 1744560