Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Salama kabisa bro.Poa sana bro. Kwema huko kwako? Jr wako atakuwa kakua sasa. Endeleeni kubarikiwa nyote.
Jr amekua sasa; tunaelewana🙂.
Salama kabisa bro.Poa sana bro. Kwema huko kwako? Jr wako atakuwa kakua sasa. Endeleeni kubarikiwa nyote.
Asante Mungu ni mwema sana wakati woteBro! Niaje
Its good u are here!
YapDah! Only 38!?
Timu yetu imekuwa tia majiKheri kwako pia wa Liver.
Naona mmeshinda game ya juzi[emoji846]
... Mh. Bi Mkubwa safi sana.
Tulikuwa na Baba wa Taifa tu, sasa nafasi ya Mama wa Taifa nayo imepata mhusika sahihi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii Nchi ina kila aina ya burudani yaani!