Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safari ni ndefu lakini ukiona mpaka yule muuaji Kheri James anaomba samahani ujue vimeumana. Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni muhimu sana na ni lazima Mama ashinikizwe ili vyote vipatikane kabla ya 2025. Akifanya haya atajizolea sifa kem kem ndani na nje ya Nchi.
Yes, atlist tunaona mwanga lakini tujipe muda maana ccm ni ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…