Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Safari ni ndefu lakini ukiona mpaka yule muuaji Kheri James anaomba samahani ujue vimeumana. Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni muhimu sana na ni lazima Mama ashinikizwe ili vyote vipatikane kabla ya 2025. Akifanya haya atajizolea sifa kem kem ndani na nje ya Nchi.
Unataka vitu gani viwepo kwenye katiba mpya?
 
Legacy ya Jiwe (mbaya au nzuri) haiwezi kuwa over. Angalau subiri vitabu vya historia ya nchi yetu vitakapoandikwa ndiyo utajua. Sasa hivi ni wapigania matumbo yao tu, wanaharakati wetu uchwara na wanafiki ndiyo wanaohangaika. Na hakuna sarafu yenye upande mmoja tu kwa sababu uwili - kinzani (+ na -) ndiyo kanuni ya jumla inayoendesha ulimwengu wetu. Kuweni na subira !!!
100% Mbaya
 
Back
Top Bottom