myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMaria aliolewa bila hata kuyaacha makazi yake.Aliingia ndani ya gari kisha akaweka saini vyeti vya ndoa na kupata dola 175 kwa makubaliano kuwa akiolewa baadaye atapewa talaka mapema iwezekanavyo.