Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
CAG amesema lo lote kuhusu hesabu za ofisi ya Makamu wa rais na Wizara ya Fedha? Au zenyewe ni ofisi mbili pekee ambazo zilikuwa na watumishi waaminifu kabisa kabisa? Mambo ya nchi hii yanafurahisha sana! [emoji16][emoji16][emoji16]Kaburi la 2017 linafukuliwa