Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawa ndio wa kufunga kabisa
 
Winga wa Real aliye na umri wa miaka 29- Mhispania Lucas Vazquez, ambaye mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu huu, hajaamua kuhamia Bernabeu licha ya Manchester United na Chelsea kuonesha nia ya kutaka kumnunua. (Sun)
 
Mkufunzi wa Brighton Graham Potter ana mpango wa kurefusha mkataba wa mshambuliaji wa Uingereza Danny Welbeck katika klabu hiyo, lakini mazungumzo hayo hayatafanyika hadi mwisho wa msimu wa huu wa joto. Mkataba wa Welbeck aliye na umri wa miaka 30- unakamilika mwezi Juni. (Sky Sports
 
Ila umenishushua Bro πŸ˜€πŸ˜€. Coco na VE wana nafasi yao lakini wewe utabaki kuwa Kaka yangu mpendwa siku zote 😊😊. Mimi sijambo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…