myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π€£π€£π€£Nenda ukashtaki. Shwaiini [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1747681
SafiiAn African woman [emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1747684
Asante sana sis kwa kunitoa wasiwasi. Angalau moyo umetulia kidogo. Nilikuwa nakuona upo tu lakini hata likes zako sizioni. Nikawa najisikitikia tu. Mungu Aendelee kukulinda na kukubariki sis wewe pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ila umenishushua Bro [emoji3][emoji3]. Coco na VE wana nafasi yao lakini wewe utabaki kuwa Kaka yangu mpendwa siku zote [emoji4][emoji4]. Mimi sijambo kabisaView attachment 1747883
[emoji120][emoji120]mpo wachache wenye kuwazia suluhisho, wengi wetu tupo kuimba, kuchekelea,kusifia na kuponda.Mimi kinachonisikitisha ni kwamba (hata kama yote yaliyotajwa na CAG ni ya kweli), tunachomokaje katika utamaduni huu wa kuiba mali ya umma namna hii? Enough is enough jamani! Japo mjadala umejikita kwenye kumponda mwendazake (kitu ambacho hakitusaidii sana japo nadhani pengine ndiyo lengo kuu), hakuna popote tunapojaribu kuja na masuluhisho ya maana. Miaka nenda miaka rudi ufisadi uko pale pale tu. Kwa hali iliyopo sasa, hata aje nani kutuongoza ulaji utaendelea tu kwa sababu inavyoonekana wakwapuaji hawa hawaogopi. Hawaogopi kutumbuliwa. Hawaogopi vifungo. Yaani hawaogopi! Na hata tukipata rais mwadilifu kabisa kabisa (kama alivyokuwa Nyerere) upigaji utaendelea tu kwa sababu rais hawezi kuwa mahali pote kama watendaji wake ni wabovu - na jamii inawategemea kuwa wabovu. Wezi!
Madudu hayo yameanikwa. Unafikiri waliotajwa watafanywa nini? Hakuna kitu. Zitakuja siasa ndeefuu mpaka umma unasahau na miaka nenda miaka rudi tuko pale pale tu.
Going forward, tufanye nini ili angalau tujaribu kupunguza wizi huu wa mali ya umma? Ingefurahisha sana kama mjadala ungejikita kwenye kujibu swali hili muhimu. Tunaweza kweli tukafanikiwa kufuta legacy ya mwenda zake na tukafurahi sana na kupiga vigelegele, then what? Mwaka ujao, na ujao tena na ujao mambo ni yale yale na hata zaidi.
Kama jamii, we have to think out of the box. Rwanda kule nasikia ukifisadika mali zako zote zinataifishwa. Unafungwa. Na kama wazazi wako na ukoo wenu wote mnaambiwa kabisa kuwa litoto lenu ni lifisadi. Na kama kuna mali mlifaidika na litoto lenu hilo fisadi zinataifishwa pia. Kufisadika ni kuleta aibu kwa ukoo mzima. Na jamii imeanza kubadili fikra na kuanza kuchukia ufisadi. Hivyo mtu akitaka kuiba inabidi afikiri mara mbilimbili. Na matokeo yake ufisadi umepungua sana.
Huku kwetu bado ufisadi ni sifa. Iba sana. Jenga majumba hata 100. Hutafanywa cho chote. Badala yake utasifiwa na kuitwa mjanja mtoto wa mjini. Ukiwa mwadilifu kabisa kabisa ukaja kuyaachia madaraka hujatajirika hata jamii yenyewe haitakuelewa. Utachekwa kama ambavyo Mzee Mangula huwa anachekwa. Au Nyerere na watoto wake wanaoishi maisha ya kawaida tu. Utawezaje kuutokomeza ufisadi katika mazingira haya na jamii ya aina hii?
Acha leo tushangilie sana. Na mwaka kesho ni yale yale (na hata zaidi)...na maisha yanaendelea....
View attachment 1747766
Aiseeeeeeeh, shikamooo BAKSay Oops! MALCOM LUMUMBA
Kuchomana sasa [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1747874
Yetu macho. Vita ni Vita Mura
*******************************
Gharama za matibabu ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, nchini India kwa kipindi cha miezi mitano kufuru!
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.
Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili β maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.
Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.
Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.
Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.
Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.
Ana apartments 78 dodoma, hivi CAG huku hafiki??
Nina picha kibao pamoja na video za tukio hili tangu juzi, ila picha hazipo kimaadili.Morogoro: Watu saba wakutwa wakitembea utupu
HALI ya taharuki imewakumba wakazi wa kijiji cha Mvuha Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro baada ya watu saba kukutwa wakitembea barabarani bila nguo huku tukio hilo likidaiwa kuusishwa na imani za kishirikina. Tukio hilo ambalo picha zake zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii linadaiwa...www.jamiiforums.com
Anko andjul connection hii mie naogopa kuotaπππππππ ila moudy sijui hio familia ilipatwa na nini mpaka kufanya hicho kitendo daahNina picha kibao pamoja na video za tukio hili tangu juzi, ila picha hazipo kimaadili.
Anayetaka kuziona aseme
Kuna hawa hapa nao THE S.O.S BAND walikuwa wamoto sana kwenye FUNK
Ndiyo maana tunapenda sana serikali yetu iendeshe mambo kwa uwazi.View attachment 1747874
Yetu macho. Vita ni Vita Mura
*******************************
Gharama za matibabu ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, nchini India kwa kipindi cha miezi mitano kufuru!
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.
Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili β maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.
Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.
Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.
Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.
Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.
Ana apartments 78 dodoma, hivi CAG huku hafiki??
RIP Left Eye β β β βWater falls MALCOM LUMUMBA