Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna wakuu wa idara, makatibu wakuu na manaibu, mawaziri na manaibu. Hawa wanawajibika vipi?
Rais asingeweza kusimamia kila kitu yeye.
Unamaanisha serikali ya rais huyu aliyepita au serikali za marais wote waliohudumu kwenye nchi hii huwa hivyo?

Maana huko nyuma tuliaminishwa kuwa rais akiwa fisadi na serikali yake yote inakuwa ya kifisadi.

Jirani naona una hoja, twende kwenye jukwaa la siasa ukanifundishe siasa.
 
hebu acha hizooooo! Ripoti mbaya tangu 2016 kutoka kwa CAG hajawahi kuchukua hatua yoyote lakini aliona mbaya wake ni CAG Assad na hivyo kumfukuza kazi. Jiwe yeye mwenyewe alikuwa ni mwizi, fisadi na mkiukaji mkubwa wa taratibu husika ili aharakishe upigaji wake wa trillions za walipa kodi.
Kuna wakuu wa idara, makatibu wakuu na manaibu, mawaziri na manaibu. Hawa wanawajibika vipi?

Rais asingeweza kusimamia kila kitu yeye.
 
hebu acha hizooooo! Ripoti mbaya tangu 2016 kutoka kwa CAG hajawahi kuchukua hatua yoyote lakini aliona mbaya wake ni CAG Assad na hivyo kumfukuza kazi. Jiwe yeye mwenyewe alikuwa ni mwizi, fisadi na mkiukaji mkubwa wa taratibu husika ili aharakishe upigaji wake wa trillions za walipa kodi.
Alivyoanza kuvipiga mikwara vyombo vya habari nilijua tunakoelekea siyo kuzuri.
Huwezi kuendesha vita vya ufisadi huku unavibinya vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom