antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Alfajiri njema
😂😂😂Jirani naona una hoja, twende kwenye jukwaa la siasa ukanifundishe siasa
Dooh.. makubwa🙄Kwenye kijiji palipotokea hilo tukio Kuna jamaa zangu wakulima wa mpunga
Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Wilaya ya Morogoro vijijini.
Kwenye kijiji hicho Waziri wa zamani wa mifugo na uvuvi mh Luhwaga Mpina amewekeza kwenye kilimo cha mpunga.
Kwahiyo kijiji hicho kina Wasukuma wengi ambao ni vibarua wa Mpina na wengine wengi wamepata ukaazi kama wanakijiji.
Taarifa ipo hivi:
Mkulima mmoja wa kisukuma kijijini hapo, asubuhi ya april 4 na 5 mwaka huu alikuta shambani kwake mpunga umekatwa.
Lakini alipofanya uchunguzi hakuona nyayo za mnyama wala binadamu, hivyo alihusisha tukio hilo na imani za Kiafrika.
Jioni ya april 6 ailifanya alichofanya, kesho yake mapema asubuhi walikutwa watu hao hapo shambani wanalanda landa wakizunguuka shamba wakiwa uchi wa mnyama.
Mwenye shamba na baadhi ya wananchi wakaenda polisi kutoa taarifa, polisi waligoma kwa kuwa tukio lina uhusiano na ushirikina na serikali haiamini kwenye ushirikina.
Msukuma akaamua kuwapa adhabu ya kutembea mtaani uchi wa mnyama.
Tukio hilo lilivuta watu wengi, maana hapo mvuha ni Kimji kilicho katikati ya maeneo hayo.
Natamani nitupie picha lakini hazina maadili.
Em tupia pm nicheki then nta- delete mkuuNina picha kibao pamoja na video za tukio hili tangu juzi, ila picha hazipo kimaadili.
Anayetaka kuziona aseme
Anazimiliki ndugai?Ana apartments 78 dodoma, hivi CAG huku hafiki??
Kuna figure ya matibabu yake hayo niliona mahali, Ni kufuru.suite nzima. Mpaka sasa gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] Chukua mmoja upewe mwingine bure bure mkuu[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1747851
😂😂😂Hahahahahaha those are not my types Mkuu. They are not sexy at all. Hata ukitaka kuwakunja hawakunjiki 🤣🤣🤣🤣🤣
Awamu ya 5Khaaaa!!!!
Mambo haya yalifanyika nyakati gani kwani?
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Awamu ya 5
😂😂😂😂😂😂😂Nimeenda uliko nituma nikakuta chanzo ni gazeti nikaishiwa nguvu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mzee wa pwani chonde chonde usicheleweshe nataka niithaminishe ya ugizani,hasa hasa ya mama mkwe
Hatari sana duh kumbe walimfanyia umafia mwenye mpunga wakeKwenye kijiji palipotokea hilo tukio Kuna jamaa zangu wakulima wa mpunga
Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Wilaya ya Morogoro vijijini.
Kwenye kijiji hicho Waziri wa zamani wa mifugo na uvuvi mh Luhwaga Mpina amewekeza kwenye kilimo cha mpunga.
Kwahiyo kijiji hicho kina Wasukuma wengi ambao ni vibarua wa Mpina na wengine wengi wamepata ukaazi kama wanakijiji.
Taarifa ipo hivi:
Mkulima mmoja wa kisukuma kijijini hapo, asubuhi ya april 4 na 5 mwaka huu alikuta shambani kwake mpunga umekatwa.
Lakini alipofanya uchunguzi hakuona nyayo za mnyama wala binadamu, hivyo alihusisha tukio hilo na imani za Kiafrika.
Jioni ya april 6 ailifanya alichofanya, kesho yake mapema asubuhi walikutwa watu hao hapo shambani wanalanda landa wakizunguuka shamba wakiwa uchi wa mnyama.
Mwenye shamba na baadhi ya wananchi wakaenda polisi kutoa taarifa, polisi hawakuyoa ushirikiano kwa hoja kuwa tukio hilo lina uhusiano na ushirikina na serikali haiamini kwenye ushirikina.
Msukuma akaamua kuwapa adhabu ya kutembea mitaani uchi wa mnyama.
Tukio hilo lilivuta watu wengi, maana hapo Mvuha ni Kimji kilicho katikati ya maeneo hayo.
Natamani nitupie picha lakini hazina maadili.
Hii habari kama inachanganya hivi,majuzi ilitumwa video ikiwaonyesha hawa Jamaa wanatembea mtaani uchi,wakasema ni wenye shamba walienda kuvuna mazao ya waliemkodishia.Kwenye kijiji palipotokea hilo tukio Kuna jamaa zangu wakulima wa mpunga
Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Wilaya ya Morogoro vijijini.
Kwenye kijiji hicho Waziri wa zamani wa mifugo na uvuvi mh Luhwaga Mpina amewekeza kwenye kilimo cha mpunga.
Kwahiyo kijiji hicho kina Wasukuma wengi ambao ni vibarua wa Mpina na wengine wengi wamepata ukaazi kama wanakijiji.
Taarifa ipo hivi:
Mkulima mmoja wa kisukuma kijijini hapo, asubuhi ya april 4 na 5 mwaka huu alikuta shambani kwake mpunga umekatwa.
Lakini alipofanya uchunguzi hakuona nyayo za mnyama wala binadamu, hivyo alihusisha tukio hilo na imani za Kiafrika.
Jioni ya april 6 ailifanya alichofanya, kesho yake mapema asubuhi walikutwa watu hao hapo shambani wanalanda landa wakizunguuka shamba wakiwa uchi wa mnyama.
Mwenye shamba na baadhi ya wananchi wakaenda polisi kutoa taarifa, polisi hawakutoa ushirikiano kwa hoja kuwa tukio hilo lina uhusiano na ushirikina na serikali haiamini kwenye ushirikina.
Msukuma akaamua kuwapa adhabu ya kutembea mitaani uchi wa mnyama.
Tukio hilo lilivuta watu wengi, maana hapo Mvuha ni Kimji kilicho katikati ya maeneo hayo.
Natamani nitupie picha lakini hazina maadili.
Kakake naomba kuona[emoji125][emoji125]Kwenye kijiji palipotokea hilo tukio Kuna jamaa zangu wakulima wa mpunga