Walahi tena sina mchezo! HahahahaHaaa haaa ..
Bhasi shift haikuwa yako
Kweli kabisa ni shida sana kibitiView attachment 538342
Asante sana Mwenye Enzi Mungu aendelee kukufungulia my dear! Believe me nilikuwa na nymba Kigamboni ya ufukweni! Mbele ya nyumba kukawa na MIKOKO, hivyo nilikuwa siioni bahari! Nikaamua kuipiga kiberiti!
Yaaala nakwambia ilibidi niuze ile nyumba walahi! Maana kila niganyalo haliendi!
Miti huwa inatushtaki kwa MAULANA MOLA WETU nasi tunapata adhabu kwa ajili ya kutoitunza misitu! Wenzetu huwa wanaithamini miti na misitu kwa ajili ya baraka!
Kata mti panda miti
Cole my friendQuigley
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mganga haagizi dagaa
Utuombee na sisiMi naaga nitarudi baada ya misa