Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tayari Man United na Liverpool zimetangaza kujitoa kwenye umoja wa vilabu ECA huku Juventus wakichukua uamuzi kama huo na kama majibu UEFA imesema itaziondoa timu hizi kwenye michuano yake na kufuta rekodi zote zilizowahi kuwekwa na timu hizi miaka iliyopita
 
Premier League nao wametangaza kuukataa mpango huu na wanaungwa mkono na waziri mkuu wa England Borris Johnson huku wachezaji wengi wa sasa na wa zamani wakiungana na mashabiki wengi duniani kote kupinga mpango huu wa klabu hizi kubwa 12
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…