Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tumblr_l_541668394543107.jpg
 
Oooh! Na kwa vile umefurahi, ni wazi alikuwa anaboronga. Ombeni mpate CE mwenye mikakati mizuri. It is time MU irudi kwenye ubora wake. Sisi mashabiki wa Aseno tumeshajikatia tamaa. Hata wafukuze timu nzima sawa tu [emoji16]
Yea I hope the next CEO atakua poa.
Kuhusu Arsenal sina comment, mzee wangu ni shabiki mkubwa pia wa timu hii.
 
Back
Top Bottom