antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Mlugaluga nakusabahi [emoji137][emoji137]Jirani, DED wa wapi huyu? Namba yake tafadhali nimjulie hali. [emoji28]
Yes! Ed Woodward kaiacha UNITED!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1758925
Ni nani huyo Woodward bro?Yes! Ed Woodward kaiacha UNITED!!
Poti, upo? Nakuja PM kuuliza jambo ...Jirani, DED wa wapi huyu? Namba yake tafadhali nimjulie hali. [emoji28]
Alikua CEO wa Manchester UNITED FOOTBALL CLUB.Ni nani huyo Woodward bro?
Oooh! Na kwa vile umefurahi, ni wazi alikuwa anaboronga. Ombeni mpate CEO mwenye mikakati mizuri. It is time MU irudi kwenye ubora wake. Sisi mashabiki wa Aseno tumeshajikatia tamaa. Hata wafukuze timu nzima sawa tu [emoji16]Alikua CEO wa Manchester UNITED FOOTBALL CLUB.
Yea I hope the next CEO atakua poa.Oooh! Na kwa vile umefurahi, ni wazi alikuwa anaboronga. Ombeni mpate CE mwenye mikakati mizuri. It is time MU irudi kwenye ubora wake. Sisi mashabiki wa Aseno tumeshajikatia tamaa. Hata wafukuze timu nzima sawa tu [emoji16]
Mpendwa Nuzulati [emoji870][emoji870][emoji870]Mpendwa Davie umeadimika ndugu
Ni Magesa Boniface DED wa SengeremaJirani, DED wa wapi huyu? Namba yake tafadhali nimjulie hali. [emoji28]