moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uzi gani mpendwa?Shimba ya buyenze u hali gani mpendwa?
Kwenye ule uzi nimetoa ya moyoni siwezi kufa na tai shingoni[emoji23][emoji23]
Yaani hatuwezi kufanya kitu kwa weledi. Tunawaza kuiba tu. Sijui nani alituroga sisi watu weusi [emoji51][emoji51][emoji51]
Waachilie na blogs tuendelee kujirusha...
Ni Magesa Boniface DED wa Sengerema
Alikua CEO wa Manchester UNITED FOOTBALL CLUB.
Hawajambo wanakusalimia mpendwa.Uzi gani mpendwa?
Mimi sijambo. Wewe vipi na wapendwa wako?
Rudi nyumbani utumikie taifa lako, uonyeshe mfano kwa vitendo.Yaani hatuwezi kufanya kitu kwa weledi. Tunawaza kuiba tu. Sijui nani alituroga sisi watu weusi [emoji51][emoji51][emoji51]