Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wamiliki wa klabu ya Manchester United , the Glazers wamewasilisha ombi la kuuza klabu hiyo kwa dau la £4bn huku mashabiki wa klabu hiyo wakifanya maandamano nje ya uwanja huo siku ya Jumamosi. (Mirror)